Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hakuna kifo [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mashabiki wa Yanga wapata ajali wakielekea Morogoro kwenye mechi baina ya timu yao na Mtibwa sugar.
Wachache wamejeruhiwa.
Hakuna kifoView attachment 1513835
Mama Kikwete aibuka kidedea Mchinga Lindi View attachment 1513805
Kimchezo mchezo tu kweli serikali imehamia Dodoma. Ajenda ya tangu uhuru...Mabilioni yaliyotumika hapo...Uchaguzi house tayari limekamilika jijini DodomaView attachment 1513844