Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mungu ni mwema ndugu yangu, karbu tena.Hahah! Sawa sawa
Kila kitu kipo fresh mzee mwenzangu, naimani kwako pia michakato inasonga
Mi nampenda sana huyu Aggrey Mwanri, basi tu hakupata ushindiDah huyu mzee Jamani [emoji134]
Yaani amekosa kura moja tu
Siri ya mama hiyo kamandaNi wa kwake huyu hajabambikiwa [emoji16][emoji16][emoji16]