Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tobey Maguire (Peter Parker) katika kipande ambacho anadaka sahani pamoja na vyakula katika filamu ya The Spiderman, Hakuna ongezo lolote la kompyuta lililotumika bali kila kitu kilifanyika kwa "uhalisia. Alirudia mara 156 kabla ya kupatia.
 
Chura Dume ndiyo hupiga kelele (Sauti) mara kwa mara hususani usiku. Lengo kuu la kelele hizo ni kuvutia majike. Jike akisikia sauti hizo huchagua sauti ipi ya dume katika Jamii yake ambayo ina mvuto zaidi kisha humfuata dume huyo.
Tafiti zimeanza kuchangamka sasa [emoji870][emoji870][emoji870]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…