Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Inasemekana alikuwa punga huyo anapumuliwa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Tafiti mbalimbali zinaeleza kuwa mpaka anafariki Mwanasayansi nguli Sir Isaac Newton hakuwahi kushiriki kabisa tendo la ndoa.
Na mbinguni kumeshajaa kwa hiyo hizi ishu za kwenda mbinguni ni hadithi tu. Mbinguni ni hapa hapa duniani kutatakaswa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Tafiti: Mashahidi Wa Yehova wanaamini kwamba Shetani alitupwa kuja Duniani kutoka Mbinguni Oktoba 01, 1914.
Hee kumbeInasemekana alikuwa punga huyo anapumuliwa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Alisharudi CCM Bro..Ndiyo. Sengerema hiyo hiyo bro....Sikujua kuwa alisharudi CCM. Mianasiasa dah !!!
*********
Tabasam 335
Ngeleja 120
Tano 105
Masha 43
Anna shija 38
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoto wa Nyerere hawa nao. Sasa wanagombea jimbo moja ili iweje?
View attachment 1513854
Usisikilize tafiti za Esta. Hiyo hatari ya mwisho aliyoitaja hiyo ni njia nzuri sana ya kuondoa msongo wa mawazo [emoji16][emoji120]
Ana bahati mbaya sana kisiasa. Alivyopigwa Nyamagana pale na Wenje akiwa waziri wa mambo ya ndani ilikuwa kama sinema vile. Tangu wakati ule anatanga tanga tu...Alisharudi CCM Bro..
Safi sana, wamemnyoosha,wanatapatapa sana hawa.
Hahahahaha aiseeeUsisikilize tafiti za Esta. Hiyo hatari ya mwisho aliyoitaja hiyo ni njia nzuri sana ya kuondoa msongo wa mawazo [emoji16]
Alizidi dharauAna bahati mbaya sana kisiasa. Alivyopigwa Nyamagana pale na Wenje akiwa waziri wa mambo ya ndani ilikuwa kama sinema vile. Tangu wakati ule anatanga tanga tu...
Shida ni chakula. Wanene wanafakamia sana vyakula. Ukiwa nao karibu nawe utafakamia tu ...Unene unaambukiza. Namna Marafiki wengi wanene ulionao kuna uwezekano wa asilimia kubwa na wewe kuwa mnene, Sababu unene Unaambukiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] broUsisikilize tafiti za Esta. Hiyo hatari ya mwisho aliyoitaja hiyo ni njia nzuri sana ya kuondoa msongo wa mawazo [emoji16]
Huyu babu hataki tu kupumzika?
Ukihondomola jimama laini, zuri, tipwa tipwa, umbo mkatiko, msambwanda wa uhakika na konokono juicy mtiririko msongo wa mawazo utatoka wapi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hahahahaha aiseee