Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Hahaha
😁 Noma sana once a gooner always a goonerHahaha
Waliotoka upinzani wanaonja shubiri.
🤣🤣🤣🤣"Cenosillicaphobia" ni uoga unaomtokea mlevi pale anapoona Glasi ikiwa tupu Au Pombe katika Glasi inakaribia kuisha. Kuna walevi hupatwa na uoga huo hivyo hujikuta na hasira kali.