NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
ππππ Etiii???Saikolojia: Marafiki Wambeya, Urafiki wao hudumu zaidi tofauti na Marafiki ambao sio Wambeya.
Zamaradi alijitokezaπNi muhimu kwa wanawake kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kuchochea kupaza sauti na kuleta usawa hasa katika masuala yanayowahusu kama ukatili dhidi yao.
Jamani πUnene unaambukiza. Namna Marafiki wengi wanene ulionao kuna uwezekano wa asilimia kubwa na wewe kuwa mnene, Sababu unene Unaambukiza.
Usisahau na wale wa halotel pia
Alaf nilikuwa na plan ya kwenda kujenga nyumba huko etHuwezi kutembea katika sayari ya Neptune, Uranus, Saturn na Jupiter kwa sababu hakuna Ardhi. Ila unaweza kufika.
Pia ni mamalia mwenye spidi ndogo zaid kwenye shughuri yake, kuanzia kula had kutembeaKoala" ni mnyama anaepatikana Australia ambapo kwa siku hulala mpaka masaa 20.
Baharia yuko vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanawake Wambea wote muendelee tu kumbe kuna faidaUmbea una faida kwa wanawake. Husaidia kuongeza kiwango cha Homoni ya Progesterone ambayo husaidia kupunguza Stress na kumfanya mtu ajisikie vizuri.
Huo sasa ni umalaya. Kumbe had ndege nao wanadangaPenguin ni ndege ambao wanapatikana sana maeneo yenye maji na baridi kali. Kuna tabia moja ambayo hufanywa na Jike ambao kuna muda hukubali kupandwa na dume kwa mabadilishano na Chakula.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah