Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wuhuuuuuu [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]Wasukuma ndio kabila kubwa katika mikoa mitano ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu na Tabora. Wanasifika kwa Upole, Ukarimu na kutokuwa Wabahili, Wakipenda wamependa kweli.
Credit: Elimika Wikiendi
Sasa mimi ndiyo unataka unisukume kwenye siasa? We vipi?[emoji23][emoji23][emoji23].
Mi siyo mwanasiasa kamanda
Uko sahihi lakini nadharia zipo ili kujaribu kuelezea mikondo ya jumla kuhusu fenomena mbalimbali. Wanasaikolojia wanalijua hili vyema lakini bado hawachoki kuja na nadharia mpya kama unavyotuwekea hapa..Hata mie sijui[emoji125][emoji125] moyo wa mtu hausemewi bro unaweza sema hivi kumbe mhusika anawaza vile
Ndiyo maana wasafiri wa zamani baharini walikuwa wanashauriwa sana kubeba asali ya kutosha ili hata ikitokea wakiishiwa na chakula njiani; au chakula walichonacho kikiharibika basi asali itawaokoa. Asali ni pure carbohydrates na imejaa calories za kutosha (kijiko kimoja kidogo kina calories 60 kwa asali safi ambayo haijachakachuliwa)....Asali ni chakula ambacho kinauwezo wa kukaa miaka zaidi ya elfu 3 bila kuharibika!
Estaaaaaaa [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]Simba jike joto likimpanda hupandwa na dume zaidi ya mara 100 kwa siku moja ili kukidhi haja zake na kuweza kubeba ujauzito (mimba)
NB: mshindo mmoja huwa hauzidi dakika mbili.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa muda huu kuna idadi ya watu wasio pungua 166,000 ambao wanafanya tendo la ngono na katika idadi yote iyo asilimia 30% wanasaliti mahusiano Yao.
Mi nipo kijijini nakula mapera [emoji23][emoji23]Sasa mimi ndiyo unataka unisukume kwenye siasa? We vipi?
Ila kuna tetesi zimeanza kuenea kuwa uko huko juu kabisa kwenye ulaji wa keki ya taifa. Tukumbukane jamani. Maisha menyewe ni haya haya tu hakuna mengine [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]Mtoto anakula chakula kwa wazazi naye ana mtoto wake [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutu, umaarufu wangu unaishia chumbani kwa mke wangu[emoji23][emoji23][emoji23]Ukute moud ni mtu maarufu tu ila hatujui.