Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ukitaka ucheke humu ndani tembelea jukwaa la kilimo na biashara ukutane na shuhuda za ajabuMotivesheno spikazi hawafai [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu wamepigwa malaki kwa ufugaji wa kuku. Kuna jamaa alianzisha project ya kuku farm watu wanatoa hela anawafugia kuku eti watakua wanavuna hela tu kuku wakitotoa mayaiukitaka ucheke humu ndani tembelea jukwaa la kilimo na biashara ukutane na shuhuda za ajabu
[emoji38]Copy and paste
Maana nisipoandika hii declaration wakurupukaji watanitolea mapovu balaa
Kwa mwendo wangu wa kobe, hyo nitaianza December[emoji3]lee joon gi anarudi na drama mpya inaitwa FLOWER OF EVIL itaanza tarehe 29.7.2020 [emoji91]....kwa wenzetu wakorea wataangalia kupitia tv chanel ya TVN sisi wabongo tutaangalia online kupitia kissasian .sh! wangapi tutaangalia?
Mie ntaisubiria iishe halafu siku hizi nimekua mvivu balaa. Dinner mate tangu wiki iliyopita nipo nayo now ep 3 baada ya kuimaliza top teamKwa mwendo wangu wa kobe, hyo nitaianza December[emoji3]
Eehwaa ikiisha ndio inakuwa vizuri, halafu Uvivu umeupata wapi?.ghafla namna hiyoMie ntaisubiria iishe halafu siku hizi nimekua mvivu balaa. Dinner mate tangu wiki iliyopita nipo nayo now ep 3 baada ya kuimaliza top team