Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpya zipo nyingi

Wengi wanaipenda hii 1.NAKUTUMIA

2.Hujanitenga
3.lushiku
4.hapo mwanzo
5.limeandikwaje
6.yupo popote
7.sikuachi tena
8.sio bure
9.nitasubiri
10.mpiga kinanda
Nmeskiza hiyo ya kwanza! Ila me si mpenzi sana wa nyimbo style hiyo.
Naskiza sana mziki wa Note (Gospel) na Music style ya Gaither Vocal Band.

Mf. wake



.
 
Kuna watu wamepigwa malaki kwa ufugaji wa kuku. Kuna jamaa alianzisha project ya kuku farm watu wanatoa hela anawafugia kuku eti watakua wanavuna hela tu kuku wakitotoa mayai
Kuna ule uzi shwaini kabisa... Sijui trekta heka 30 kwa siku na gharama ndani ya mwaka inakuwa imerudi...
Ahsante sana fulani kwa ushauri wako [emoji120]
maana ulisema hiyo hela nikijenga kibanda cha miti hata mchwa ukikitafuna walau nitabakiwa na kichuguu kama kumbukumbu kuliko hiyo biashara kichaa...
 
Yaan anko vya bure gharama sana
 
Yaan anko vya bure gharama sana
Unajua mama,kwa umri wetu huu ni kama tunapelekeshwa sana na haya mafanikio ya haraka na ndo tunapigwa vizuri sana.

Niseme tu usije ukafanya kitu kisa tu umekisikia mtu anakiongelea kifaida faida...
Shughuli nyingine zote nilizowahi kuteguka kiuno achana nazo maana nilishirikiana na wife, sasa nikapewa ushauri bar nifanye biashara ya daladala, sikumshirikisha mama chanja, huyo zangu Zanzibar Mwanakwerekwe huko kwa tajiri Ibrahimu... Nikajibebea Nissan car.. mbili, nikatia guu home kwa mbwembwe za kinyakyusa huku namtambishia msukuma wangu...akaniambia tu "ungejenga ungekuwa umefanya kitu cha maana sana" nikamjibu "nitajenga kupitia makusanyo haya haya"

Namshukuru Mungu bado nipo hai, hizo gari hata sijui ziko wapi... Nikipita barabarani ni jina tu limebaki kwa madereva "mzee AJ shikamoo,panda hii wewe boss wetu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…