Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Welcome lupasoMimi lazima tutaonana tu no mata whati. Utakwenda wapi?
Bi mkubwa ni kisu hatari.. Km zimesoma lakin bado aisee
Huyu carbamazepine, popote alipo; my Beibe, my Kivuruge. Embu ukuje basi, tumekumisimo. Kuna mvinyo za kufa mtu kwa ajili yako yaani, maua ndio usiseme; nishapata tuition ya nguvu toka kwa SYB hapa. Hata IBIZA safari hii tutaenda walahi. 😁😁Jamani carbamazepine na Cole Williams vipi? Hawajambo? Anayejua atujuze pulizi [emoji1545][emoji1545]
Lupaso ndio wapi Numby?Rasmi nimehamia Lupaso
Aliwahi kuwa Miss America huyo.Bi mkubwa ni kisu hatari.. Km zimesoma lakin bado aisee
Masasi mtwaraLupaso ndio wapi Numby?
Utakuwa unatumia App,hata kwangu pia ipo hvyo..Mtu akini mention hua sioni sijui kwann
Mambo ni bomba
Mzima?!
Hizi nywele ukikutana na msusi mwenye stress zake utafurahi mwenyewe zinaumaaaaa
Aisee, yupo vizuri sanaAliwahi kuwa Miss America huyo.
Ha ha ha aisee, haya bwanaMasasi mtwara
Hahahah karibuHa ha ha aisee, haya bwana
Safi kabisa, mambo vipi huko?Aisee, yupo vizuri sana
Kwema bro?
kama kweli vile. 😁Hahahah karibu
Hahahah umeona eeh, nikikaza hapa, anabadirishia gia anganikama kweli vile. [emoji16]