Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fainali ya Kombe La Dunia mwaka 1950 kati ya Brazili na Uruguay iliyochezwa katika uwanja wa Maracana, Brazil inatajwa kuweka rekodi ya mechi yenye watazamaji wengi zaidi uwanjani. Ilikua na watazamaji 173,850 japo ripoti zingine zinasema watazamaji walifika zaidi ya 200,000.
 
Athletic Bilbao ni mojawapo ya klabu ambayo haijawahi kushuka daraja tangu ilipopanda kwenda ligi kuu ya Uhispania La Liga mwaka 1929. Timu nyingine ni Barcelona na Real Madrid ambazo zote zilipanda mwaka huo huo 1929 na ndio mara ya kwanza Ligi Kuu nchini humo ilianza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…