Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unajua mwanzo nilijua unatania sikuchukulia serious.
Nikupe tu hongera kwa kuthubutu ila wajumbe wakishikamana sio watu wazuri [emoji1][emoji1]
Mkuu Nilitia nia kwenye Kata yangu walinifuata vijana Wengi hoo mzee unajua hii Kata yako tu Hakuna wa kukubabaisha yaani maneno kedekede kilichotokea dah sitaki kukumbuka
 
Yeah hali imebadilika sana! Sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi ni vizuri kuwapima viongozi na kwa vigezo kabla ya kuwapa rungu watuongoze.
Kiongozi asiye heshimu sheria zetu wenyewe anatufaa nini?
 
Yaani zile pesa za vikao uchwara nilizotumia na posho za Wajumbe wanafiki ningengonga k vant ten years nimeumia sana
Nilitaka nipite kimya kimya ila hapana! Pole sana Mzee wa liver na Hongera pia.
Kwangu si habari mbaya hata kidogona wala usijilaumu! Umeongeza wasifu wako, napengine wanao wanaweza kuwa inspired siku moja wakafanya makubwa kwa Taifa hili. Just keep the positive attitude alive into You, siku moja itakua.

Piga picha fomu yako itunze vizuri mahali kwa kumbukumbu, siku moja itakuwa faraja kwako.
 
Samahani bro, yupo ukimbizini wapi?
 
"Demokrasia isiyoheshimu mila, utamaduni, mazingira na historia ya watu ni kazi bure"

Mwisho wa kunukuu...

Kama unabisha nenda ukawaulize Wamarekani kuhusu juhudi zao za kueneza hii demokrasia yao ya one size fits all huko Mashariki ya Kati. Hata Afrika hapa demokrasia hii ni kama vile imeshindikana na tunababaishana tu.

Demokrasia halisi ni lazima iakisi hali halisi katika jamii. Huko ilikotoka demokrasia inaanzia majumbani na kujitandaza katika taasisi zao zote. Mtoto wa kizungu ana haki zake na anaweza kumtukana mzazi wake bila wasiwasi kwa sababu anajua mzazi wake hawezi kufanya cho chote. Shuleni huko pia nako ni mfalme. Ndivyo jamii zao zilivyo huko.

Sisi huku demokrasia hii inaanzia wapi? Tunayo demokrasia kwenye familia zetu huko? Mtoto wa Kiafrika ana demokrasia gani? Taasisi zetu je? Kama mtoto haruhusiwi kumtukana mtu mzima kwa nini akikua tunamtaka aanze kutukana viongozi wake? Kutukana viongozi wake ndiyo kipimo cha demokrasia? Utamaduni wetu uko hivyo?

Kikwete ni kweli alikuwa anatukanwa na kuvumilia lakini ni wazi kuwa alikuwa anaumia. Ndiyo maana alihakikisha kuwa anatunga na kuitia sahihi sheria kandamizi na mbovu kabisa ya makosa ya mtandao ambayo inatutesa mpaka leo kabla hajaondoka madarakani.

Kama tunataka demokrasia ya kweli basi tuchukue mema ya hii ya Kimagharibi na mema yetu tuunganishe pamoja. Vinginevyo demokrasia utabakia ni msamiati na kauli mbiu isiyo na maana [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Amun Ra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…