Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samahani bro, yupo ukimbizini wapi?
Moto ulimuwakia akakimbilia kwenye ubalozi wa Finland nadhani lakini baadaye aliondoka nchini kama sikosei. Kwa sasa anaandikia magazeti ya "mabeberu" huko.

Ngurumo personally namfahamu. Ni mwandishi mzuri na mchambuzi wa mambo mengi sema tu ana jazba. Shida yake kubwa ni matusi. Ndiye alikuwa mtu wa kauli za akina Mnyika " JK ni kiongozi dhaifu"...mara nchi imemshinda. Amezidi upole. Kazi yake kucheka cheka. Vasco Dagama, mlea mafisadi, tunataka rais ajaye awe mkali, ni bora akiwa dikiteta kidogo...mpaka kuna kipindi aliropoka kuhusu mambo ya ushoga. Yeye na Kubenea waliyokuwa wakiyaandika mengine hayafai kusemwa hadharani. Mange Kimambi type...Lakini ndiyo demokrasia..I guess...
 
Demokrasi ina wigo mpana sana
 
Bingwa mpya wa bara la Asia katika uzito wa super feather anayetambuliwa na IBF ni Bruno Tarimo kutoka Australia. Mzaliwa wa Rombo lakini raia wa Australia. Amepigana mapambano 28, ameshinda 25, amepigwa 2 na kutoa droo 1. Pambano lake la mwisho alimtwanga Nathaniel May 06 December 2019 na kutwaa mkanda wa IBF. Nje ya mkanda alivuna pia $75,000 sawa na TZS 170M kwenye pambano hilo. Aliukana uraia wake na kuhamia Australia baada ya kuona anashindwa kutimiza ndoto zake hapa nchini. Hata hivyo ameendelea kuwa Balozi mzuri wa Tanzania, na mara zote hutumia bendera ya Tanzania na Australia kwa pamoja kama utambulisho wake.!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Mkuu Nilipata hasara tena nilipiga ma k vant ya kufa kwa hasira nilizokuwa nazo aisee wajumbe wasikie tu kwa mwenzako hawana maana kabisa
Ulipata kura ngapi?

Kwa maoni yako unafikiri ni kwa nini ulianguka? Upembuzi yakinifu please. Kama nitakuwa hai nataka kutia nia 2025 baada ya Joka Makengeza kuondoka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Asante kwa maelezo mazuri Bro

Lakini haifahamiki yupo nchi gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu labda Wajumbe wabadilike
Hapana. Hakuna sababu nyingine mbali na "ukatili" wa wajumbe? Hiyo kata yako walikuwa wanakufahamu? Uliwahonga pesa zako za K-Vant wakala na kura hawakukupa.

Ungekuwa kwenye darasa la Political Science ukaulizwa utaje sababu zako za kushindwa ungetaja sababu gani mbali na wajumbe? [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…