mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sababu moja tu kubwa muda wa mini nasi kwa raia na Wajumbe ulikuwa hakuna kabisa kumbuka waliokuwa wananafasi ya Kuongea na Wajumbe na wananchi ndani ya miaka mitano ni waliokuwa madarakani tuHapana. Hakuna sababu nyingine mbali na "ukatili" wa wajumbe? Hiyo kata yako walikuwa wanakufahamu? Uliwahonga pesa zako za K-Vant wakala na kura hawakukupa.
Ungekuwa kwenye darasa la Political Science ukaulizwa utaje sababu zako za kushindwa ungetaja sababu gani mbali na wajumbe? [emoji109]