Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sema Cuzin, upo!
Kwenye nchi moja ya Scandinavia, sikimbiki nchi ganiAisee huyu jamaa Yupo nchi gani
NipoUko wapi
Hahahaha,Unajua mwanzo nilijua unatania sikuchukulia serious.
Nikupe tu hongera kwa kuthubutu ila wajumbe wakishikamana sio watu wazuri [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa liver kwema?View attachment 1523893
Daa, tukio lako linafanana kidogo na la kwangu.Mkuu Nilitia nia kwenye Kata yangu walinifuata vijana Wengi hoo mzee unajua hii Kata yako tu Hakuna wa kukubabaisha yaani maneno kedekede kilichotokea dah sitaki kukumbuka
Umetumia sana pesa mkuu.Yaani zile pesa za vikao uchwara nilizotumia na posho za Wajumbe wanafiki ningengonga k vant ten years nimeumia sana
Hahahahahahaha.
Zitapunguza njaa ya siku hiyo[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
AminKafanya kazi kubwa sana ya maendeleo, hizi sekondari za kata zimewatoa wengi sana kimaisha. M/Mungu amtunze
Wahuni[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa liver kwema?View attachment 1523893