Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kweli. Nipendekezee jina niwasiliane na Mello sasa hivi aisee.Hahaha eti miaka 75
Muda wa kushusha huu, unaenda wapii,[emoji125][emoji125][emoji125]
Any thing for You.Lala salama Coco, Asante kwa kuwa nasi😘
Hili jamaa likianza kujinyonga nyonga mtu inabidi tu ubadili cheno kwa sababu hakuna namna. Samahani lakini kama nimeharibu vibe yako TH [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahaha, yani wapenzi wa muziki wake tunapata tabu sanaHili jamaa likianza kujinyonga nyonga mtu inabidi tu ubadili cheno kwa sababu hakuna namna. Samahani lakini kama nimeharibu vibe yako TH [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Ukiangalia marais karibu wote Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara walibeba fimbo.Vifimbo hivi vilikuwa vinasemekana ni vya mauza uza na ushirikina. Hicho cha Nyerere ati aliwahi kukisahau UK wakajaribu kukinyanyua kikawashinda mpaka wakamuita mwenyewe akarudi kukichukua.
Kosa kubwa ambalo limetia doa utawala wa awamu ya kwanza ni hili la kuingiza nchi vitani kumpigania mtu.Obote bwana. Bingwa wa kupinduliwa mpaka akatuingiza kwenye vita vya kiboya tu. Tukamrudisha na bado akapinduliwa tena. Hovyooo !!!
SafiiNdiyo jirani
View attachment 1526401
Duh[emoji23][emoji23]View attachment 1526453