Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Na hilo ndio tatizo linapoanzia,halafu hali ipo tofauti sana mtaani,wanajiaminisha huko Twitter ili hali mtaan hali haipo hvyo, na je watanzania wangapi ni watumiaji wa Twitter? Ukiangalia wengi wao wanaopiga kelele huko Twitter ni vijana tu na sio wapiga kura, wapiga kura hata Twitter hawaifahamu...Kwanza anatakiwa aache jazba,kukurupuka kujibu kila kitu Twitter. Pili japo anahitaji ila si kwa sasa sympathy ndio ngao yake kubwa kwa kipindi hiki nadhan keshajua kaigeuza kuwa fimbo yake.
Maskini, inasikitisha sana
Inalillah wainalillah rajuin
wamechakaa sana.. Hii civil war sijui itaisha lini..!Poleni wakazi wa jiji la Beirut View attachment 1527680
Bado mgonjwa. Kimwili na hasa kisaikolojia. Inabidi atafutiwe mabingwa wa saikolojia/akili kuweza kumsaidia. Amepitia magumu sana kwa miaka hii mitatu. Ana hasira. Jazba. Na kujiona kuwa yeye ndiye yeye. Kuropoka kwa kila jambo. Wamsaidie. Kuanzia mwonekano mpaka approach. Atulie kidogo. Atafakari. Japo hatashinda naamini ataleta msisimko japo hautafikia ule wa mamvi 2015. Na cha muhimu zaidi, azingatie sana amani na utaifa wetu. Aliokuwa anawabembeleza watunyime misaada siyo watu wema hata siku moja....Na hilo ndio tatizo linapoanzia,halafu hali ipo tofauti sana mtaani,wanajiaminisha huko Twitter ili hali mtaan hali haipo hvyo, na je watanzania wangapi ni watumiaji wa Twitter? Ukiangalia wengi wao wanaopiga kelele huko Twitter ni vijana tu na sio wapiga kura, wapiga kura hata Twitter hawaifahamu...
Anguko la huyu jamaa nalo linahitaji mjadala?
Yale yale ya wajumbe!!