Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaandika gazeti lote hilo halafu unajibiwa K [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]

Makorokocho ya misambwanda ni tatizo la wengi. Wengine yametusababishia matatizo makubwa hatuheshimiwi pisi kali zinadhani tu wahuni machakaramu kumbe ni hobi tu kama vile sigara, yoga au kunyanyua vyuma [emoji16][emoji16][emoji16]
 
*Kuna baadhi ya wahudumu Ni ngumu sana kuuona ufalme wa Mbingu. Unamuuliza kwa sauti ya Chini yeye anakujibu kwa Sauti HAKUNA CHUMBA CHA ELFU 10* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Unamuuliza muuza duka la dawa kondom kwa sauti ya chini anakujibu kwa sauti ya juu "kondom zimeisha" mpaka wateja wengine wanageuka kukukodolea mimacho [emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…