Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nimeona Numbyningendako mgombea wetu kaenda kutuchongea kwa majirani tuna corona tena kwa lugha ya mabeberu daah ndo kusema anachukia watalii wanaomiminika nchini kipindi hiki?
Point tupu umeandika. Naona jazba zaidi katika matamko yake kuliko busara. Bora watu wake wakaribu wamshauri aachane na suala la corona ni kubwa mno kwake. Kwa leo ametoa bokoNimeona Numby
Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain katika hili..
Ni ujinga kuona mtu kama TL kwenda kuiponda inchi yake tena kwa mabeberu, unadhani wao wanamuonaje yeye? Kwamba ndio msafi sana? Wanamtumia tu mwisho wa siku hatakuwa na jipya tena
Halaf kama anavyodai kuwa Tanzania kuna Corona,mbona bado wanahamasishana wakusanyike kwenye mikutano yao?
Hatuoni wakipeana distance yoyote ile kuanzia siku anawasili hadi ile siku pale Mlimani City..
Ingekuwa hii corona ipo hapa kwetu, na mikusanyiko yetu hii, basi barabarani kungekuwpo na maiti za kutosha aisee
Siku zote ulimi uliponza kichwa, awe makini!!
Kabsa hili la leo,kaharbu sidhan hata wanaomuunga mkono wamelifurahiaPoint tupu umeandika. Naona jazba zaidi katika matamko yake kuliko busara. Bora watu wake wakaribu wamshauri aachane na suala la corona ni kubwa mno kwake. Kwa leo ametoa boko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tusubiri watetezi wake watakuja na sababu ipi hasa juu ya hayo matamkoKabsa hili la leo,kaharbu sidhan hata wanaomuunga mkono wamelifurahia
Jana bro Shimba, alisema TL anatakiwa apewe muda wa kutosha zaidi,vinginevyo ataharbu zaidi.
Mwakaleli hoyeee [emoji1734][emoji1734][emoji1734]Mbunge mtarajiwa View attachment 1528902
?????????
Point tupu umeandika. Naona jazba zaidi katika matamko yake kuliko busara. Bora watu wake wakaribu wamshauri aachane na suala la corona ni kubwa mno kwake. Kwa leo ametoa boko
Nimeona Numby
Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain katika hili..
Ni ujinga kuona mtu kama TL kwenda kuiponda inchi yake tena kwa mabeberu, unadhani wao wanamuonaje yeye? Kwamba ndio msafi sana? Wanamtumia tu mwisho wa siku hatakuwa na jipya tena
Halaf kama anavyodai kuwa Tanzania kuna Corona,mbona bado wanahamasishana wakusanyike kwenye mikutano yao?
Hatuoni wakipeana distance yoyote ile kuanzia siku anawasili hadi ile siku pale Mlimani City..
Ingekuwa hii corona ipo hapa kwetu, na mikusanyiko yetu hii, basi barabarani kungekuwpo na maiti za kutosha aisee
Siku zote ulimi uliponza kichwa, awe makini!!
Karopoka nini tena safari hii? Ndiyo. Bado mgonjwa na anatakiwa kuwa karibu sana na daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mtu wa Saikolojia. Naamini hata mwili wake unayo maumivu mengi.Kabsa hili la leo,kaharbu sidhan hata wanaomuunga mkono wamelifurahia
Jana bro Shimba, alisema TL anatakiwa apewe muda wa kutosha zaidi,vinginevyo ataharbu zaidi.
Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha sheria inayozuia kupeana taarifaKaropoka nini tena safari hii? Ndiyo. Bado mgonjwa na anatakiwa kuwa karibu sana na daktari bingwa wa magonjwa ya akili na mtu wa Saikolojia. Naamini hata mwili wake unayo maumivu mengi.
Sijui kama anajua kuwa kuanzia sasa kila atakachokisema kitachekechwa sana na kupimwa katika mizania kwa jicho kali. Na kanuni namba moja, kama unagombea urais wa nchi, ni kutoisema nchi yako vibaya labda tu katika muktadha wa kuitetea. Huwezi kwenda kuisema nchi yako vibaya huko nje halafu tena utake kuiongoza nchi hiyo hiyo. No sir. You can't eat your cake and have it too...
Wasipomwekea mtu wa kumwangalia na kumdhibiti tabia hii ya kuropoka hovyo hovyo tu itawapa shida sana.