Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Asante Numby, acha leo nishushe vituSalama
Salama ninge.
Shusha tu halotel wana unlimited ni wewe tu na usingizi wako kisha kesho dae akileta mrejesho tutajua zaidi kama ipo kwa wote au napendelewa tu
Tuna makabila mengi sana, lakini jambo la kushukuru sisi ni wamoja kuliko hata nchi zenye makabila machache kama wasomali , wanyarwanda, warundi na wakenya.huko kwenu mumejaza makabila, sijui ilikuwaje mukawa na taifa moja
weweeeee.....leo sijiungi(jana internet ilikuwa ni mbovu)Salama
Salama ninge.
Shusha tu halotel wana unlimited ni wewe tu na usingizi wako kisha kesho dae akileta mrejesho tutajua zaidi kama ipo kwa wote au napendelewa tu
Tena ukiwa na 4G aisee usiku ni wako utafaidi kama coco na ile top tenAsante Numby, acha leo nishushe vitu
Chezea wajumbeWajumbe walimliza mpaka balozi Mheshimiwa sana Dr. Diodorus Kamala Buberwa P. Hawana huruma hawa watu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1529508
zantel wanajishusha, dunia ya sasa matumizi makubwa ya mitandao ya simu ni Internet......Huko najua Vodacom na Airtel wamebamba.
Zantel ni Zanzibar na maeneo ya jirani Dar, Tanga na Bagamoyo
Tanganyika mulipata kiongozi boraTuna makabila mengi sana, lakini jambo la kushukuru sisi ni wamoja kuliko hata nchi zenye makabila machache kama wasomali , wanyarwanda, warundi na wakenya.
Sisi hapa kwetu kabila lako ni lako mwenyewe, hutabaguliwa kutokana nalo.
Mambo yetu yanaenda bila kujali makabila yetu.
Makabila yamebakia na kazi moja tu ya kutaniana
Mie pia nipo 3G,napambana nayo hivyo hivyo siku nikiangukia kwenye 4G drama na series zitaomba poo. Kesho ukirudi mjini anza na ya 1500 kisha ya 500 maana. Leo ndio ilikua bahati yako.weweeeee.....leo sijiungi(jana internet ilikuwa ni mbovu)
unajua nipo nje ya mji jambo linalopekea speed ya internet iwe ni 3g....
inshaallah kesho nitarudi mjini(nitajaribu kujiunga)
huwa natumia internet mpaka nafikia hatua namuuliza google drama ipi ni nzuri haijalishi ya mwaka gani?
sometime natamani nimuamshe ningendako anipe list ya series
hahahaaaaaaaa
jana internet ilikuwa mbayaaaaa kama karata za membe na uraisi
View attachment 1529913
- nimeshusha the blacklist season 3 , hd(reddington ananitia wazimu)
- dear my friends drama, full hd
- na video nyengine za tutorials, full hd
- celine dion albums, kutoka mwaka 1991 hadi 2008
- kwa mara ya kwanza nimetafuta nyimbo za ed sheeran
RIP....MWILI wa mrembo Jemima Oresha aliyetumbukia katika maporomoko ya Thompson Falls Nyahururu nchini Kenya _ umeopolewa juzi Jumatano, Agosti 5, 2020 na wakazi eneo la Rwathia kando ya mto ambao waliwajulisha polisi ambao walifika na kuuchukua. Naibu kamishna wa eneo hilo, Patrick Muli amesema mwili huo ulipatikana kilomita chache mbali na eneo alikotumbukia na kwamba Jemima alitembelea Thompson Falls ku-enjoy mandhari ya eneo hilo. Jemima mwenye umri wa miaka 39 alikuwa amesimama kwenye jiwe huku ndugu yake Mangafu akimpiga picha, kwa bahati mbaya alikumbana na mauti. Kikosi kilichowashirikisha maofisa wa KWS, polisi, kitengo cha dharura na wale wa Msalaba Mwekundu kilipinga kambi katika mto huo kuusaka mwili wa marehemu. “Mwili huo ulionekana na wakazi eneo la Rwathia kando ya mto ambao waliwajulisha polisi ambao walifika na kuuchukua,” Muli alisema. Naibu kamishna huyo aliwatahadharisha wakazi na kuwaomba kuwa waangalifu wakati wanavuka mito iliyofurika eneo hilo. Mwathiriwa alisafiri kutoka Kitale kaunti ya Trans Nzoia na alisisitiza kwamba kabla arejee nyumbani angependa kuzuru maeneo hayo yenye mandhari ya kupendeza. Familia yake imekuwa ikipiga kambi eneo hilo ikiitafuta mwili wa mpendwa wao. “Ilikuwa ni tamanio letu kuupata mwili wake ili tumzike mahali ambapo tutakuwa tukiliona kaburi lake,” kakake alisema. Mwili wake ulipelekwa katika makafani ya hospitali ya rufaa ya Nyahururu. **RIP JEMIMAView attachment 1529889
wewe na mwili wako tu, sasa mimi nikiwa home ikifika saa 10 najifanya kulala kimachale huku nikiwa nimetega mzigo wanguTena ukiwa na 4G aisee usiku ni wako utafaidi kama coco na ile top ten
uzuri zaidi, unaangalia mpira mpaka saa 6 then unaunganisha bandoMie pia nipo 3G,napambana nayo hivyo hivyo siku nikiangukia kwenye 4G drama na series zitaomba poo. Kesho ukirudi mjini anza na ya 1500 kisha ya 500 maana. Leo ndio ilikua bahati yako.
Binadamu kiumbe katili sanaPunda afe mzigo ufike...
View attachment 1529712