weweeeee.....leo sijiungi(jana internet ilikuwa ni mbovu)
unajua nipo nje ya mji jambo linalopekea speed ya internet iwe ni 3g....
inshaallah kesho nitarudi mjini(nitajaribu kujiunga)
huwa natumia internet mpaka nafikia hatua namuuliza google drama ipi ni nzuri haijalishi ya mwaka gani?
sometime natamani nimuamshe ningendako anipe list ya series
hahahaaaaaaaa
jana internet ilikuwa mbayaaaaa kama karata za membe na uraisi
- nimeshusha the blacklist season 3 , hd(reddington ananitia wazimu)
- dear my friends drama, full hd
- na video nyengine za tutorials, full hd
- celine dion albums, kutoka mwaka 1991 hadi 2008
- kwa mara ya kwanza nimetafuta nyimbo za ed sheeran
View attachment 1529913