Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naona wameamua kumpotezea.Zuma kwenye memes katuokoa sana. Sijui kesi zake za ufisadi zimefikia wapi. Ilifika mahali mpaka watu wa kawaida wakawakemea akina Malema kuwa wanamdhalilisha na kwamba kama angekuwa mzungu chapa ya akina De Clerk wasingeweza kumfanyia hivi...
Atakutafuta huyo miaka miwili ijayo ili muyajenge[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja kazaliwa 1992 anaringa huyo kumbe 2022 tu hapa anauvuka ule mstari wa Ikweta [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku wa mahaba
Usiku wa malovee