mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
ZuriGeto languView attachment 1535424
Huku kwetu sijalisikiaUsiku wa tetemeko....
Safi sanaJe wajua kuna mnyama analala jicho moja wazi ? Mnyama aina dolphin ni mmoja ya aina ya mamalia wanaoishi baharini wakiwemo na nyangumi. Wakati wa kulala inasemekana upande mmoja wa akili yake umelala na mwingine bado unafanya kazi (conscious) kumfanya alale huku jicho moja kaacha wazi.Anafanya hivi ili ajilinde akiwa analala na wanyama hatari wa baharini kama Papa. Pia kwa vile yeye ni mamalia akilala usingizi wa moja kwa moja atazama hivo lazima aibuke kupumua alafu arudi tena kulala au hulala kwenye kina kifupi cha maji.
Yupo wapi siku hiziJe wajua kuna mtu aliwahi kuhitimu Chuo akiwa na miaka 10 ? Michael Kevin Kearney amabaye sasa ana umri wa miaka 34, alipata shahada ya anthropologia katika University of Sourthen Alabama mwaka 1994 akiwa na miaka 10 na kuweka record mpaka leo kuwa mwanafunzi mwenye umri mdogo zaidi kupata shahada na kuhitimu chuo. Michael pia aliweka record ya kuwa mwanafunzi mwenye umri mdogo pia kupata shada ya uzamili akiwa na miaka 14 katika chuo cha Middle Tennesse State University na record hiyo ilivunjwa mwaka 1999. Alianza kufundisha chuo akiwa na miaka 16 na alipofikisha miaka 18 alipata shada ya nyingine ya uzamili ya Computer Science. Alipata PhD akiwa na umri wa miaka 22 na akaendelea na kazi ya kufundisha Chuo Middle State Tennesse University
Serikali ni kikundi cha watu wenye dhamana ya kuongoza nchi. Chaweza kuwa kikundi cha watu wema, wazalendo, wenye hekima na akili. Chaweza pia kuwa kikundi cha wahuni, washamba, malimbukeni na wajinga. Au ikawa mchanganyiko wa hayo yote na mengineyo.