Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
nilidhani nitakuwa team bookworm baada ya kuiangalia hiyo drama lakini wapiiiii.....naelekea kumaliza mwaka bila ya kuangalia hata jarida la playboy (nikatia nuru macho).Dae nimerudi hapa romance is a bonus book maana enzi inaonyeshwa sikuipenda na actor nilikua simuelewi elewi ila aiv namuelewa vizuri tu
huyu madenge post zake nyingi pale ni twitter ni simulizi za pombe........TBL wamuangalie, anafaa kuwa balozi
Kuna vitu nivya kuangalia tu kwa mbali,nowdays hata gazeti linanishinda bora majarida ya fema naangalia tu katuni na mishono ya wahusika wa jarida.nilidhani nitakuwa team bookworm baada ya kuiangalia hiyo drama lakini wapiiiii.....naelekea kumaliza mwaka bila ya kuangalia hata jarida la playboy (nikatia nuru macho).
kusoma vitabu na majarida kuna umuhimu wake, kwangu limekuwa ni jambo gumu zaidi kulitekeleza.....hata kusoma thread ndefu nashindwaKuna vitu nivya kuangalia tu kwa mbali,nowdays hata gazeti linanishinda bora majarida ya fema naangalia tu katuni na mishono ya wahusika wa jarida.
Mbona profesa ameweka kengeza...?
Kuna kipindi nilikua mgonjwa wa vitabu bila kitabu siku inakua mbaya. Siku hizi hali imebadilika.kusoma vitabu na majarida kuna umuhimu wake, kwangu limekuwa ni jambo gumu zaidi kulitekeleza.....hata kusoma thread ndefu nashindwa
sijui niweke stocks gani leoKuna kipindi nilikua mgonjwa wa vitabu bila kitabu siku inakua mbaya. Siku hizi hali imebadilika.
Muda wa kukombeleza makombo ya mb drama time.
sijui niweke stocks gani leo
nimeona moja tu...romance is a bonus bookHahahaha eti stock
Leo nina romance is a bunus book
Madame Antoine
Drinking solo
Nataka kujaribu squad 48
Hyena
Yani mnanivuruga kiukweli aunt...ndio kwanza nipo epsode2 ya Camelia,halafu marriage not dating kisha heal meπAunt mbona unapita kimya au stock imejaa ee?
atakupeleka kuzimu huyo aunti yako.....wewe endelea kunywa tuYani mnanivuruga kiukweli aunt...ndio kwanza nipo epsode2 ya Camelia,halafu marriage not dating kisha heal meπ
Muone! ππPoti marahabaaaa
Bora nimrudie King Davet wangu etiii, unasemaje bwana weweatakupeleka kuzimu huyo aunti yako.....wewe endelea kunywa tu
aunt my foot
Ee rudi akupeleke kwenye stress za epl na la ligaBora nimrudie King Davet wangu etiii, unasemaje bwana wewe
Hahahahha aiseeenimeona moja tu...romance is a bonus book
kwa usalama wa afya yako si vibaya ukamrudia mfalme mpotevuBora nimrudie King Davet wangu etiii, unasemaje bwana wewe
Kill me sijawah iangalia sijui kwann nasita. Upo vizuri tatu kwa mpigo daahYani mnanivuruga kiukweli aunt...ndio kwanza nipo epsode2 ya Camelia,halafu marriage not dating kisha heal meπ