Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tako flani ivi [emoji39]
Halafu sasa ni mechi ya kirafiki tuHawa wajukuu wa Hitler wana nini hawa. Mbona wanasema dozi kali namna hii? Au wanafikiri soka ni netiboli? Jizazi [emoji15]
Duh!6. Anapoiona hatari hukimbilia katika maji haraka sana, na akifika huko anakukaribisha.
Wahuni tu hao...
Hicho tu ndio kilichobaki poti, hawa City watasababisha nipate tezi dume hawa. Halafu haka ka Numbisa kanasema eti Asenali timu ya ajabu; hakajui kuwa wakati kako chekechea pale "Nyakahoja" Asenali ndio ilikuwa Baba lao. π π πββοΈπββοΈπββοΈKaribu sana Poti. Rudi nyumbani kumenoga [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Kwanini Lakiiinii kutamanishana....Sijambo The don, waendeleaje kamanda wa makamanda.?
Maskini mieeee bora ungenitajia nyakabungo,nyanza,hata pamba kabla haijawa secHicho tu ndio kilichobaki poti, hawa City watasababisha nipate tezi dume hawa. Halafu haka ka Numbisa kanasema eti Asenali timu ya ajabu; hakajui kuwa wakati kako chekechea pale "Nyakahoja" Asenali ndio ilikuwa Baba lao. π π πββοΈπββοΈπββοΈ
Wa kisure bana, aah; miyeyusho kibao. Jumatatu njema poti. Tunaelekea ziwani sasa, ngoja tukapambane na mawimbi. π πMaskini mieeee bora ungenitajia nyakabungo,nyanza,hata pamba kabla haijawa sec
Poti bana ziwani unawahi mno subiri saa saba ndo uendeWa kisure bana, aah; miyeyusho kibao. Jumatatu njema poti. Tunaelekea ziwani sasa, ngoja tukapambane na mawimbi. π π