reply 1988 wasemavyo wenyewe ni nzuri sanaNipo busy na reply 1988 bila kusahau drinking solo
[emoji120][emoji120]Amani iwe nanyi..tupendane..
reply 1988 wasemavyo wenyewe ni nzuri sana
nitampa kura yangu inshaallah"Mwaka huu mtakula ubwabwa mpaka basi"
Hashim Rungwe SpundaView attachment 1544725
nitaitafuta tenaSana hasa ukiiangalia huku umetuliza akili utaifaidi ina yale maisha ya zaman ,visa na mikasa bado ya majiran kupeana misosi. Bonding za wazazi na watoto
nitaitafuta tena
swadakta,Ushawahi ivuta ukaifuta?kuna kipindi niliivuta episode tatu nilipoanza ya kwanza tu nikaona mizinguo nikaifuta bila kuangalia ya pili na ya tatu
kubwa sanaView attachment 1544765
Dah hawa jamaa wana kufuru.
Wafuatao ni wabunge mia moja maarufu waliokatwa na wajumbe wa vikao mbalimbali vya uteuzi ndani ya uteuzi vya CCM.
> Maulid Mtulia- Kinondoni, nje
>Abdallah Mtolea- Temeke, nje
>Lolensia Bukwimba - Busanda
>Julius Kalanga- Monduli
>Chacha Lioba- Serengeti nje
>Juma Nkamia-Chemba- nje
>Daniel Nsanzugwanko-Kasulu mjini.nje
>Albert Obama- Buhingwe, nje.
> Mbaraka Bawazir-Kilosa, nje
>Goodluck Mlinga- Ulanga, nje