Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wafuatao ni wabunge mia moja maarufu waliopitiwa na panga la wajumbe wa CCM
>Andrew Chenge- Bariadi mashariki-nje
>Harrison Mwakyembe- Kyela nje
> Peter Selukamba, KigomaKaskazini, nje
>Rafael Chegeni -Busega- nje
>Anjela Kairuki- Same mashariki, nje
>Vick Kamata - Viti maalum, nje
>Halima Bulembo- viti maalum nje
> Charles Tizeba Buchosa -nje
>Adadi Rajab- Muheza- nje
>Diodoros Kamala- Nkenge nje
>Steven Masele- Shinyanga mjini- nje




INAENDELEA..
 
Wafuatao ni wabunge mia moja maarufu waliokatwa na wajumbe wa vikao mbalimbali vya uteuzi ndani ya CCM.

> Maulid Mtulia- Kinondoni, nje
>Abdallah Mtolea- Temeke, nje
>Lolensia Bukwimba - Busanda
>Julius Kalanga- Monduli
>Chacha Lioba- Serengeti nje
>Juma Nkamia-Chemba- nje
>Daniel Nsanzugwanko-Kasulu mjini.nje
>Albert Obama- Buhingwe, nje.
> Mbaraka Bawazir-Kilosa, nje
>Goodluck Mlinga- Ulanga, nje
 
Yulee..bwana anaweza kuwarudisha...zinamtosha mwenyewe tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…