Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumia Nguvu
Kila mwadamu ameumbwa na nguvu ya kipekee katika maisha yake. Hakuna mtu asiye na nguvu katika maisha. Tatizo ni kwamba watu walio wengi hawapendi kutumia nguvu zao walizonazo. Hapa siongelei nguvu ya nje ambayo mwanadamu anaweza kuwa nayo au asiwe nayo. Naongelea nguvu ya ndani kabisa ambayo kwa macho sio rahisi kuiona. Kile unachokihisi ndani ya moyo wako ndicho ninachokiongelea. Kile kilicho ndani yako kinachokuambia unaweza ndicho ninachokiongelea. Kama unaweza kuwaza kuwa na gari basi mungu amekupa nguvu ya kupata gari. Kama unaweza kuwaza kuwa mtu maarufu basi mungu amekupa nguvu ya kukufikisha hapo unapopaona. Cha kufanya ni kuamka na kuweka nguvu iyo katika matendo na kufanya unachoweza kufanikisha kile ambacho unahisi unaweza kukipata.
 
Tumia Kipaji
Kipaji ni zawadi ambayo kila mwanadamu amepewa. Jukumu la mwanadamu ni kukiendeleza au kukiua kabisa. Kipaji chako ni moja kati ya vitu vikubwa ambavyo ukivitumia unaweza kuwa mtu unaetaka kuwa katika dunia hii. Nadhani mifano ipo wazi kabisa ya watu ambao wamefanya makubwa katika dunia hii kupitia vipaji walivyonavyo.
 
Anna Tibaijuka aliaga kabisa bungeni kuwa hagombei...na hakugombea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…