Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jose alikuwa ni mlevi raia wa Seattle US, March 12, 1906 alihukumiwa kwa ulevi uliopindukia uliokuwa kero kwa watu wake aliokuwa akiishi nao, hukumu yake ikawa ni kifungo cha siku 30 jela pamoja na faini ya $100.