Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kathe alimchoma na kisu John hadi kufa, akamchuna ngozi, kisha akauweka mwili wake kwenye ndoano ya nyama na akapika kichwa chake na sehemu za mwili wake kwa kusudi la kuwalisha watoto wake wanne.