Wakati huo Mary alikuwa na umri wa miaka 34 akihudumu kama mwalimu katika shule ya msingi Shorewood, Wisconsin US, akahukumiwa jela baada ya kubainika kuwa alikuwa akitoka kimapenzi na mwanafunzi wa kiume wa darasa la sita Vili Fualaau aliyekuwa na umri wa miaka 12.
Mwaka huo Mary alipewa hukumu ya kifungo cha miezi 6 pekee gerezani pamoja na kifungo cha nje cha miezi mitatu, lakini akiwa katika kifungo cha nje akakamatwa tena akifanya mapenzi na mtoto huyo huyo ndani ya gari, hapo akaongezewa kifungo za miaka saba na nusu hadi alipoachiwa mwaka 2004.
Ajabu ni kuwa hata baada ya Mary kumaliza kifungo hicho aliporudi uraiani aliendeleza mahusiano na kijana huyo, wakati huu hakukamatwa kwakua tayari Vili alikuwa amefikisha umri wa miaka 18, walifunga ndoa Mei 20, 2005, ndoa hiyo ilivunjika mwaka 2019.
July 6, 2020 Mary alifariki akiwa na umri wa miaka 58 huku mtalaka wake Vili akiwa pembeni baada ya kuugua kansa ya utumbo kwa muda mrefu, ameacha watoto 6 huku wawili wakiwa ni wa kijana huyo.
Usichokifahamu ni kwamba wakati Mary anakamatwa kwa mara ya kwanza Juni 18, 1996 alivyokutwa akimfanyisha mapenzi Vili kwenye gari alidanganya kuwa umri wake ni miaka 18 na wakati ni 34.
Hata rais wa sasa wa Ufaransa Emmanuel Macron wakati anasoma shule ya msingi mkewe Brigitte Macron alikuwa mwalimu wa shule hiyo, kwahio jamaa alikuja kumuoa mwalimu wake, Macron ana miaka 42, mkewe ana miaka 67
Vita ya Kagera iliigharimu Tanzania takribani Tzs Trilioni 1.15, Pia hiyo ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa nchi kutoka Afrika kutumia majeshi yake kwenda kumn’goa madarakani Rais wa nchi nyingine ambayo ipo Afrika.
Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu Cha London (UCL) wameweka rekodi mpya baada ya kuunda intaneti yenye kasi inayofikia 178 Terabits (TB) kwa sekunde sawa na GB 1,78,000. Kwa kasi hiyo unaweza kupakua Filamu zilizopo Netflix chini ya sekunde 1, ili ufungiwe katika eneo lako itakuhitaji kuwa na Tsh Milioni 46.4.
Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu Cha London (UCL) wameweka rekodi mpya baada ya kuunda intaneti yenye kasi inayofikia 178 Terabits (TB) kwa sekunde sawa na GB 1,78,000. Kwa kasi hiyo unaweza kupakua Filamu zilizopo Netflix chini ya sekunde 1, ili ufungiwe katika eneo lako itakuhitaji kuwa na Tsh Milioni 46.4.
Erotomania ni ugonjwa wa akili huwapatao wanawakeUgonjwa huu ni ile hali ya mwanamke kujihisi kuwa yeye ni mzuri saana na kila mtu anampenda yeye kutokana na uzuri wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.