Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama sayari ya Jupiter ingekuwa mfano wa ndoo zingehitajika dunia 1300 ili ziweze kuijaza Jupiter Na laiti kama jua ingekuwa mfano wa ndoo zingehitajika sayari 1000 za Jupiter ili zijae ndani ya jua Je jua lina ukubwa kiasi gani??
 
MEDALI YA MDUDU WA DHAHABUHii ni medali ya Misri ya kale yenye hadhi ya juu kabisa aliyokuwa akipewa mfalme au kiongozi wa kijeshi iwapo atafanya mambo ambayo yatasaidia taifa Kwa mfano kama ukifanikiwa kuilinda ardhi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…