OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Juma Nature anatumia niji abakaliki uyu jamaaTMK Wanaume Family View attachment 1547577
Baharia haogopi magonjwa..Mabaharia bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1547592
Madaraka matamu hata wewe ukipewa iyo nafasi huchomoiNilimuheshimu sana Alasane Ouattara, lakini hapa ameboronga.View attachment 1547629
Ndivyo tulivyo bin adam ..tunateteaga matumbo yetuAfrika hakuna kitu kamanda. Huyu alihangaika mpaka kumwaga damu na mambo ni yale yale tu. Wale makamanda wa Mali wamejipa miaka mitatu. Wataiba weeee halafu atakuja mwingine pale naye aibeee. Hovyo tu !!!
Kazi ya hatari sana. Wana roho ngumu sana hao jamaa. Lidege likianza kutikisika sijui huwa hawaogopi?Hongerasanakwao napendamtotowanguajekuwarubani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "mimi ndio huitwa niweke chumvi"
Huyo kivuruge ata mchepuko tu[emoji23][emoji2210]