Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Barcelona hatahivyo inaamini kwamba kifungu hicho kilipitwa na wakati na kwamba kandarasi ya Messi katika klabu hiyo itakamilika 2021 huku kukiwa na kifungu cha Yuro milioni 700 kwa klabu yoyote inayotaka kumnunua.
 
Alianza kutoka na kuelekea katika eneo la wachezaji wa ziada wa timu yake na alipokuwa akiondoka alinitishia kwamba ataniona baada ya mechi, Toki alisema.''Ni wakati huo ndiposa nilimpatia kadi nyekundu na kunipiga ngumi usoni''.''Karibu anasisababishie upofu kwa sekunde chache, na baadaye nilianza kutokwa damu.
 
Toki anasema kwamba ana wasiwasi kwamba iwapo atamshtaki mchezaji aliemshambulia, huenda akapoteza kazi yake, lakini akaongozea: kwa upande mwengine, iwapo sitamshtaki, katika siku za usoni huenda akamfanyia kitendo hicho refa mwengine.
 
Toki anasema kwamba ana wasiwasi kwamba iwapo atamshtaki mchezaji aliemshambulia, huenda akapoteza kazi yake, lakini akaongozea: kwa upande mwengine, iwapo sitamshtaki, katika siku za usoni huenda akamfanyia kitendo hicho refa mwengine.
 
Kampuni ya Masuala ya Teknolojia MyChannel Inc. Imemshtaki Kanye West na kutaka kulipwa fidia ya dola Millioni 20 kwenye kile walichodai kuwa amevunja masharti ya mkataba wao ambao unahusiana na huduma ya Ibada ya Jumapili ambayo Kanye West amekuwa akiifanya. Kupitia Mwanasheria wao, Kampuni hiyo imedai kuwa Kanye West amewatumia kujinufaisha Yeye pamoja na kampuni yake ya mavazi ya Yeezy, MyChannel Inc. imedai kuwa iliwekeza dola Millioni 7 ikiwa ni pamoja na kuhamisha makao yao makuu kwenye miji miwili tofauti wakimfata Kanye ndani ya miezi 6 ambaye amekuja kuvunja mkataba kabla ya kukamilisha sehemu yake ya makubaliano. Wameeleza kuwa Kanye aliahidi kuchangia dola Millioni 10 lakini hajafanya hivyo zaidi ya kuendelea kujinufanisha na Teknolojia yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…