moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huenda alichotarajia hakukikuta.Mwingine hata hajafanyiwa ubaya, ni vile tu hakua na nia njema toka mwanzo, alipretend.
Hahahaa daah anaona isiwe tabu anajisepea zake😂😂Huenda alichotarajia hakukikuta.
Mwingine anakuja kwa unyenyekevu akidhani atakuta "kibereko" akijakuta tofauti anaanza mbwembwe ili ajiondoe[emoji23][emoji23]
Kapepo kapo kanakotusukuma ila mostly tunaogopa dushee kwa sababu nyie Me hamuaminiki... Unakuta hujamtongoza mtoto wa kike na ye mtoto wa kike kakuweka zake friend zone, unamtumia nauli anakuja kukusalimia rafiki yake kumbe we una mawazo yako ya kuamla kimasihara kisa tu ulituma nauli ndiyo unajimilikisha na kuona ashakuwa wako.Hivi mnakuwaga na pepo la kulakula hizo hela au mnaogopaga dushee? Funguka rafiki tupate maujuzi
Taavid nitumie nauli nije nikusalimie 😂 siikuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha akome kabisa. Anakuwa kama ametoka Bush na gari ya mkaa banaHuo ni moshi unafuka kichwani kwake? Hahahaa akome
[emoji38][emoji38][emoji38]halafu baadae nije kulialia humu!!Taavid nitumie nauli nije nikusalimie [emoji23] siikuli
Hahahahahaa akome zaidi na zaidiHahaha akome kabisa. Anakuwa kama ametoka Bush na gari ya mkaa bana
Unamfungulia uzi[emoji38][emoji38][emoji38]halafu baadae nije kulialia humu!!
Haha tabia nzuri sana hii kumfanyia baharia kama ExtrovertRaha sanaaa, tena unamwambia alipie chumba kabisa umekaribia kumbe uko zako home umelala miguu umeinyooshea ukutani unacheza Candy Crush
[emoji1]hiyo lazima nimfungulie uzi wengine nao wasije wakaingia chakaUnamfungulia uzi
Wala inakupasa ukomae kiaskari maana hata ukilia lia humu haitosaidia kitu 😂[emoji38][emoji38][emoji38]halafu baadae nije kulialia humu!!