Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Wacha weeYaani huyu kijana naendelea kumuomba Mungu aendelee kuwa na msimamo na hofu ya Mungu.Atulie na mkewe..bila hivyo bongo movie watamgeuza danga lao wadangaji hao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha wee
Sawa tumeelewa hoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sehemu sahihi sana kwake
Ni kweli irudishe kamanda. Mimi siyo mtoto wa JF ila Ja Rule anakukubali sana. Unajua hili ni suala la kisaikolojia zaidi. Tunajua kuwa ID na avatar hizi ni feki lakini akilini mtu unakuwa tayari na association fulani hivi kati ya ID na avatar. Sasa ukikuta avatar imebadilishwa dah ubongo unagoma aisee. Rudisha avatar [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kuwa umenipa maelezo ya kitaalamu wacha niirudishe tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Umekula kura ya Ndiyo!