Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
✌Mtu mzima/ambae asha balehe, wastani kwa siku hufikiria kuhusu kufanya ngono zaidi ya mara 08.
😎😎Ukitizamana na mpenzi wako kwa dakika 03 mfululizo mapigo ya moyo huenda sawa
Wewee!!Mtu mzima/ambae asha balehe, wastani kwa siku hufikiria kuhusu kufanya ngono zaidi ya mara 08.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa tumeelewa hoja
😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe nikipewa hilo swali au wewe ufe,mbona unakufa asbh na mapema kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]RIP guys [emoji3]
Wasukuma siyo watu [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Mungu saidia hii deal itimie