Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mapembe hayo ni hatari sana usiyaone hivyo japo ukiwahasi kidogo wanakuwa watulivu. Bila kuwahasi tegemea kesi za mauajiKamanda pandikiza hiyo mbegu, nawapenda sana kuwaona ng'ombe wenye mapembe ya hivyo
Nilitaka kushangaa yani unaniacha vipi nipotee kizembe vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema hilo naweza pambana ukapona ila ingekuwa kudifferentiate wallah tungekuzika [emoji1787]
Hahahahahahahahaj [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Kijasho chapa[emoji23][emoji23]
Huyu ni yeye kweli? Mimi siwezi oa hata bure π¬"Karibu nitaolewa, sitaki mahari ya hela nyingi miye"----- Wema SepetuView attachment 1549640
Aseee, mi nimeshangaa dada mzuri kama huyo hapo anamchezea ng'ombe mwenye pembe hatarishiMapembe hayo ni hatari sana usiyaone hivyo japo ukiwahasi kidogo wanakuwa watulivu. Bila kuwahasi tegemea kesi za mauaji
Eat and run je?Huyu ni yeye kweli? Mimi siwezi oa hata bure π¬
Ila wewe nakuacha kwanza uhangaikeNilitaka kushangaa yani unaniacha vipi nipotee kizembe vile