Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wale chunusi wa baharini au?Uzi huu una chunusi.
Wangapi mnamjua chunusi na ni nani chunusi wa uzi huu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeSayari ya Miller iliyoigizwa katika baadhi ya Filamu kama Interstellar' ni kweli ipo, Sehemu kubwa imetawaliwa na kina kifupi cha maji. Ukikaa saa 1 ni sawa na miaka 7 Duniani, Kama uliondoka ukiwa na Miaka 15 na ukakaa huko masaa 10, Ukirudi..View attachment 1549704
Sawasawa...Saikolojia: Mwanamke anapoitwa Baby' na Mwanaume anaempenda hupata hisia chanya zaidi na hivyo husaidia kumuondolea/Kupunguza mkazo (Stress).