Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kwenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema asante sasa [emoji3]
Kwenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema asante sasa [emoji3]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Binti mpole tena? Hapo utaishia kula za uso tu. Ni anonimazi foreva [emoji16][emoji16][emoji16]
Note: Wasukuma sisi, kwa vile ni kabila kubwa na tumeenea nchi nzima; ukiongezea na upole wetu, tunataniwa karibu na kila mtu hapa nchini. Kwa hiyo sehemu nzuri ya kuanzia ni kwa Wasukuma...ila tu usizidishe sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni lazima wawe ni wale waliokua wenyewe huko baharini/ziwani/mtoni na kuvuliwa na Yego nachulale. Hawa waliokuzwa kwenye mabwawa na kulishwa makemikali wana tabia ya kuwa na mercury kwa wingi (hawajajua inakotoka) na sumu zingine kibao. Ndiyo maana ukienda kwenye masupamaketi wale waliovuliwa kienyeji ni ghali sana ukilinganisha na hawa waliofugwa mabwawani...Ulaji wa samaki hupunguza hatari ya kupata matatizo ya magonjwa ya moyo ,shambulio la moyo.
Sawa dogoSiwezi kuacha
Kuna uzi kabisa utakuja kuhusu hii ishu ya kushuka kwa mapigo ya moyo wakati mtu ukiwa umelala. Nitakutagiwakati wa usiku mwili hutoa homini iiitwayo melatonin. Hii husaidia katika kuuandaa mwili kulala. Mapigo ya moyo hushuka.
Nice broKujifungua ni mziki mzito na sidhani kama ni wa kurahisishwa na ulaji wa tende tu. Nilishaingia leba na kushuhudia mtoto akitoka laivu...Oh switi Jizazi. Niliapa kuwa sitatembelea uvinza tena lakini time heals everything...[emoji85]
Heshima kwenu sana wazazi wetu nyie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwa Bongo hapa bado kweli kuna watu watakutumia pesa [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1550133
[emoji124]
Uvinza ndio wapi tena?Kujifungua ni mziki mzito na sidhani kama ni wa kurahisishwa na ulaji wa tende tu. Nilishaingia leba na kushuhudia mtoto akitoka laivu...Oh switi Jizazi. Niliapa kuwa sitatembelea uvinza tena lakini time heals everything...[emoji85]
Heshima kwenu sana wazazi wetu nyie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kumbe basi huku tunafata direct wa ziwaniNi lazima wawe ni wale waliokua wenyewe huko baharini/ziwani/mtoni na kuvuliwa na Yego nachulale. Hawa waliokuzwa kwenye mabwawa na kulishwa makemikali wana tabia ya kuwa na mercury kwa wingi (hawajajua inakotoka) na sumu zingine kibao. Ndiyo maana ukienda kwenye masupamaketi wale waliovuliwa kienyeji ni ghali sana ukilinganisha na hawa waliofugwa mabwawani...
Hahah! Kwamba nacheza tu kwenye hiyo zoneHahahahaha am your in law
Usisahau bro nipate elimu zaidiKuna uzi kabisa utakuja kuhusu hii ishu ya kushuka kwa mapigo ya moyo wakati mtu ukiwa umelala. Nitakutagi
In-law zone. Hii zone ndiyo naisikia leo bro [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah! Kwamba nacheza tu kwenye hiyo zone
Ee yaan ni hapo hapo hakuna kutoka hahaHahah! Kwamba nacheza tu kwenye hiyo zone
Daktari wangu hapa katikati alinikomalia sana kuhusu hii ishu. Sitasahau [emoji1545]Usisahau bro nipate elimu zaidi