Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ulaji wa samaki hupunguza hatari ya kupata matatizo ya magonjwa ya moyo ,shambulio la moyo.
Ni lazima wawe ni wale waliokua wenyewe huko baharini/ziwani/mtoni na kuvuliwa na Yego nachulale. Hawa waliokuzwa kwenye mabwawa na kulishwa makemikali wana tabia ya kuwa na mercury kwa wingi (hawajajua inakotoka) na sumu zingine kibao. Ndiyo maana ukienda kwenye masupamaketi wale waliovuliwa kienyeji ni ghali sana ukilinganisha na hawa waliofugwa mabwawani...
 
Nice bro
 
Uvinza ndio wapi tena?
 
Kumbe basi huku tunafata direct wa ziwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…