moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Shwari mkuu umepotea sana.Poa sana. siku mingi
Pole sana.
Wajuaji wanasema Chunusi haonekani, maana ni Jini.
Kwahiyo hafanani na Mamba wala Kiboko.
Hapa Dar yameshatokea matukio kadhaa ya aina hiyo ambayo yamewaacha watu vinywa wazi.
SafiiMashallah [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1551098
Asante, nawe piaWeekend iwe njema kwetu wooote
Usiku wa pipii