Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nauliza, Hivi mtu akigongwa na nyoka mwenye sumu akinywa maziwa au kutumia sabuni yenye kemikali ataweza kupunguza nguvu ya sumu iliyipo mwilini kabla ya kufika Hospital?Unapokunywa sumu wahi kunywa maziwa au ukikosa kunywa maji mengi sana.Fanya hivi pia kwa mtu alokunywa sumu au sabuni au kemikali yeyote. Hii ni kama huduma ya kwanza tuu kisha wahi hospitali
😂😂hilo pozi tu
Haswaaa, hayo tumwachie Kivuruge na rangi yake ya DubaiAunt sie rangi ya mpoki hatutakiwi kuchora tattooView attachment 1552457
Wataalmu wa afya hawaonyeshi kama maziwa yanatibu au kuleta nafuu kwenye sumu ya nyoka. Sumu ya kawaida inaponywewa inakimbilia tumbon hivyo maziwa yanamsaidia mgonjwa kuitapika sumu wakati sumu ya nyoka inafikia kwenye damu kwanzaNauliza, Hivi mtu akigongwa na nyoka mwenye sumu akinywa maziwa au kutumia sabuni yenye kemikali ataweza kupunguza nguvu ya sumu iliyipo mwilini kabla ya kufika Hospital?
My fav Fantasy & Horror show..