Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nyuki kujiendekeza tu kwa sababu muziki wake ni wa kawaida sana. Nimerina sana asali utotoni. Sana sana ni kuvimba mikono na uso tu na baada ya siku tatu hivi uvimbe unaisha [emoji16]Mtu along’atwa na nyuki anatakiwa atolewe miba kwa kutumia kitu chenye ncha kali kama kisu au sindano.
Asitumie kucha maana zitasaidia kuminya sumu.
Aondolewe miiba yote na atapishwe ili kuondoa sumu iliyopo tumboni kisha awahishwe hospitali.
Duh aiseee yaan mtu akisoma hapa anaona maumivu ya nyuki ya kawaida sanaNyuki kujiendekeza tu kwa sababu muziki wake ni wa kawaida sana. Nimerina sana asali utotoni. Sana sana ni kuvimba mikono na uso tu na baada ya siku tatu hivi uvimbe unaisha [emoji16]
Hapa kwa asilimia kubwa ni menu ya wakurya bila nyama kwao msosi haujakamilikaUsukumani rahaaaaaaa [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1553235
Maumivu ya nyuki na manyigu ni kawaida sana. Labda ungesema nge tena yale makubwa meupe kidogo ningekuelewa kwa sababu muziki wake kidogo unaeleweka. Ukija kwangu eti unalia umeumwa na nyuki au manyigu (na hata nge) mi nitaishia kukucheka tu [emoji16][emoji16][emoji16]Duh aiseee yaan mtu akisoma hapa anaona maumivu ya nyuki ya kawaida sana
Mimi nasema Usukumani tena leo hii hii wewe tena unanihamishia Ukuryani dah [emoji16]Hapa kwa asilimia kubwa ni menu ya wakurya bila nyama kwao msosi haujakamilika
😁😁😁😁😁😁😁Mimi nasema Usukumani tena leo hii hii wewe tena unanihamishia Ukuryani dah [emoji16]
So sadMaumivu ya mama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1553244
Bado wanapambana. Hydrocephalus inaweza kuwa managed kwa kuwa wanaondoa hayo maji mara kwa mara japo wanasema hii ni extreme case kwa sababu mtoto pia ni kipofu. Ukizaa mtoto mzima pia ni kumshukuru Mungu sana kwa sababu ukipata mtoto mgonjwa chronic ni mtihani sana [emoji1545]So sad
[emoji23][emoji23][emoji23]