Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tomato zina vitamini C kwa wingi. Wataalamu wa afya wanaelezakuwa vitamini hivi vina kazi kubwa ya kulinda mwili na maradhi mbalimbali. Pia vitamini hivi vinakazi ya kuzuia utengenezwaji wa selibila ya mpangilio yaani seli za saratani.
Swali: Tomato ipi sahihi ni nzuri kuila hii mbichi au hata ileambayo imeshawekwa kwenye mboga na ikapikiwa tukaila kupitia mboga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…