myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!Dear God.. Whatever Bill Gates said in his prayers.. [emoji120][emoji120]
Amen.
Ni kweli asee, umezibwa pale katikatiHapana kaka.. angalia vizuri mrija wa 4 chini umezibwa..
Lugha inatuchanganya, kumbe PAE imepunguzwa, madaraja yamepandishwa na malimbikizo yamelipwa.Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”- JPM akiwa Mara
“Mambo ya kuwadanganya Wafanyakazi unawaongezea mshahara halafu kesho yake nauli zinapanda, unga,mafuta na kila kitu kinapanda hivyo vimepitwa na wakati lakini nimewaahidi Wafanyakazi kwamba kabla sijamaliza muda wangu nitawapandishia mishahara msijali”-JPM
Ni kweli bro[emoji23]Pole sana kaka, Umepitiwa kidogo[emoji3][emoji3]
Namba 4 haitakaa ipate kimiminika kamwe! Bado unafanya makosa yale yale ya wakati uleeee [emoji16][emoji16][emoji16]Itaanza kujazwa namba 4
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1561061