myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wagonjwa wote
Sis, u Mwadventista?KESHA LA ASUBUHI
Jumamosi 12/09/2020
*BWANA HUWATAKASA WANAOITUNZA SABATO*
*Tena naliwapa Sabato zangu, ziwe ishara kati ya mimi na wao, wapate kujua ya kuwa mimi, BWANA, ndimi niwatakasaye.* Ezekieli 20:12
[emoji184] Siku ya Bwana iliyotajwa na Yohana ilikuwa Sabato, siku ambayo Yehova alipumzika baada ya kazi kubwa ya uumbaji, ambayo aliibariki na kuitakasa kwa sababu alistarehe siku hiyo. Sabato ilitunzwa kitakatifu na Yohana katika kisiwa cha Patmo kama alivyokuwa kati ya watu, akihubiri katika siku hiyo. Huku akizingirwa na miamba mitupu, Yohana alikumbuka Mlima Horebu uliojaa miamba, na jinsi ilivyokuwa, wakati Bwana alipotamka sheria Yake kwa-watu pale, alisema, Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
[emoji184] Mwana Wa Mungu alinena na Musa kutoka kilele cha mlima. Bwana aliifanya miamba kuwa patakatifu pake. Vilele vya milima hekalu lake. Mungu mwanzilishi wa sheria alishuka katika Mlima wa miamba kutangaza sheria Yake wakati watu wote wakimsikia, ili waweze kuguswa na onesho kuu tena lenye utisho la nguvu na utukufu wake, na kuogopa kuvunja sheria yake. ....Sheria ya Yehova haibadiliki, na mabamba alikoandika sheria hizo yalikuwa mwamba mgumu, ukiwakilisha kutokubadilika kwa maagizo yake.. Miamba ya Horebu pakawa mahali patakatifu kwa wale wote walioipenda na kuiheshimu sheria ya Mungu.
[emoji184] Wakati Yohana akitafakari matukio yanayotokea kule Horebu, Roho yake Yeye aliyeitakasa siku ya saba, ilikuja juu yake. Alitafakari sana juu ya dhambi ya Adamu ya kukiuka kanuni ya kimbingu, na matokeo ya kutisha ya kosa hilo. Upendo wa Mungu usio na kikomo, kwa kumtoa Mwana Wake kuikomboa jamii iliyopotea, ulionekana kuwa mkubwa kiasi cha lugha kutoweza kuuelezea. Anapouelezea katika nyaraka zake, analitaka kanisa na ulimwengu wautazame.
[emoji820] *Wale wote wanaoiheshimu Sabato kama ishara kati yao na Mungu ...watawakilisha kanuni za serikali yake. Wadhihirisha katika matendo yao ya kila siku, sheria za ufalme wake. Kila siku itakuwa ni ombi lao kwamba utakaso wa Sabato udumu kwao.*
*TAFAKARI NJEMA SANA*[emoji1980]
Yap!Mwingine ee?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Yap!
Mpare hataki mchezo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
(Nshadandia)
Hiyo yenye fulana nyeupe hapo kulia ni pisi kali hatari....Zitto arejea nyumbaniView attachment 1566922