Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wahenga...we still got it [emoji123][emoji123][emoji123]
Babu anakula Kipochi taiti cha motoooo. Sisi tunahangaika na miguberi
AiseeHivi karibuni Mreno, Cristiano Ronaldo aliingia kwenye vitabu vya historia ya soka baada ya kufikisha mabao 101 kwa upande wa timu ya Taifa na kujiwekea rekodi ya kuwa mchezaji wa pili duniani kuwa na mabao zaidi ya 100 baada ya Ali Daei wa Iran aliyeifungia nchi yake mabao 109 baada ya kucheza mechi 149.
[emoji120][emoji120][emoji120]Poleni wakulima wooote
AminMungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Hapana Bro mimi sio muadventistaSis, u Mwadventista?
Nilikulia huko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huku kwema sis. Siyo kawaida yako kuweka makwotesheni marefu hivyo ndo maana nimeuliza...Hapa
Hapana Bro mimi sio muadventista
Kwema huko ulipo?
AminaHuku kwema sis. Siyo kawaida yako kuweka makwotesheni marefu hivyo ndo maana nimeuliza...
Tumshukuru Mungu sis [emoji1545][emoji1545]