Luis Suarez
Mabao 59, mechi 113
Katika mechi 113, za timu ya taifa amefunga mabao 59, huku saba kati ya hayo yakiwa ni ya Kombe la Dunia, lakini amekuwa mchezaji mwenye mafanikio zaidi kwa upande wa timu ya taifa kuliko nahodha wake wa Barcelona Messi, kwa kuwa amewahi kuchukua ubingwa Copa America mwaka 2011, baada ya kutoka kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika Afrika Kusini mwaka 2010.