Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sis, u Mwadventista?

Nilikulia huko [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hivi karibuni Mreno, Cristiano Ronaldo aliingia kwenye vitabu vya historia ya soka baada ya kufikisha mabao 101 kwa upande wa timu ya Taifa na kujiwekea rekodi ya kuwa mchezaji wa pili duniani kuwa na mabao zaidi ya 100 baada ya Ali Daei wa Iran aliyeifungia nchi yake mabao 109 baada ya kucheza mechi 149.
 
Ronaldo alifikisha rekodi hiyo Jumanne wiki hii, kwenye mchezo wa Uefa Nations League dhidi ya Sweden,Idadi hiyo inamfanya kuwa ndiye mchezaji anayeongoza kwa wale ambao bado wanacheza soka na anayo kila nafasi ya kuivuka rekodi ya Daei, ambaye alishastaafu soka.
 
mastaa kumi wenye mabao mengi ambao wanaocheza soka barani Ulaya na bado wanachezea timu zao za Taifa.Cristiano RonaldoMabao 101, mechi 165Katika ngazi ya klabu, Ronaldo ameshinda kila kitu ikiwamo tuzo binafsi tano za Ballon d’Or.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…